Proverbs 6:16
Kuna vitu sita anavyovichukia Bwana, 2 naam, viko saba vilivyo chukizo kwake: 3
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
These six things doth the LORD hate: yea, seven are an abomination unto him:
In Context
15Kwa hiyo maafa yatamkumba ghafula; 2 ataangamizwa mara, pasipo msaada. 1
17macho ya kiburi, 3 ulimi udanganyao, 3 mikono imwagayo damu isiyo na hatia, 3
Cross References
Deuteronomy 23:18Kamwe usilete mapato ya ukahaba ikiwa ni ya mwanamke au ni ya mwanaume katika nyumba ya Bwana Mungu wako kwa ajili ya nadhiri yoyote, kwa sababu Bwana Mungu wako anachukizwa na yote mawili.
Deuteronomy 25:16Kwa maana Bwana Mungu wako humchukia yeyote ambaye hufanya mambo kama haya, yeyote anayetenda kwa udanganyifu.
Job 5:19Kutoka majanga sita atakuokoa; 2 naam, hata katika saba hakuna dhara litakalokupata wewe. 1
Psalms 11:5Bwana huwajaribu wenye haki, 2 lakini waovu na wanaopenda jeuri, 2 nafsi yake huwachukia. 1
Proverbs 8:13Kumcha Bwana ni kuchukia uovu; 2 ninachukia kiburi na majivuno, 2 tabia mbaya na mazungumzo potovu. 1
Proverbs 11:20Bwana huwachukia sana watu wenye moyo wa upotovu, 2 bali hupendezwa na wale ambao njia zao hazina lawama. 1