The Bible Software
bible.softwareJobJob 5 › Job 5:21

Job 5:21

Utalindwa kutokana na kichapo cha ulimi, 2 wala hutakuwa na sababu ya kuogopa maangamizi yatakapokujia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt be hid from the scourge of the tongue: neither shalt thou be afraid of destruction when it cometh.

In Context

20Wakati wa njaa atakukomboa wewe na kifo, 2 naye katika vita atakukomboa na pigo la upanga. 1

22Utayacheka maangamizo na njaa, 2 wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa 2 wanyama wakali wa mwituni. 1

Read all of Job 5

Cross References

Psalms 31:21Atukuzwe Bwana, 2 kwa kuwa amenionyesha upendo wake wa ajabu 2 nilipokuwa katika mji uliozingirwa. 1

Psalms 57:4Niko katikati ya simba, 2 nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: 2 watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, 2 ambao ndimi zao ni panga kali. 1

Proverbs 12:18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, 2 bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 1

Jeremiah 18:18Wakasema, “Njooni, tutunge hila dhidi ya Yeremia; kwa kuwa kufundisha sheria kwa kuhani hakutapotea, wala shauri litokalo kwa mwenye hekima, wala neno la manabii. Hivyo njooni, tumshambulie kwa ndimi zetu na tusijali chochote asemacho.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 5:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 5:20Job 5Job 5:22 →