Job 6:13
Je, ninao uwezo wowote wa kujisaidia mimi mwenyewe, 2 wakati ambapo mafanikio yamefukuziwa mbali nami? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Is not my help in me? and is wisdom driven quite from me?
In Context
12Je, mimi nina nguvu za jiwe? 2 Je, mwili wangu ni shaba? 1
Cross References
Job 12:2“Bila shaka ninyi ndio watu, 2 nayo hekima itakoma mtakapokufa! 1
Job 16:7Ee Mungu, hakika umenichakaza; 2 umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. 1
Job 26:2“Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo! 2 Jinsi ulivyouokoa mkono ulio dhaifu! 1
Galatians 6:4Lakini kila mtu na aipime kazi yake mwenyewe, ndipo aweze kujisifu, bila kujilinganisha na mtu mwingine.