Ayubu 6:14
“Mtu anayekata tamaa angetazamia moyo wa kujitoa wa rafiki zake, 2 hata kama akiacha uchaji wa Mwenyezi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 4:3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi, 2 jinsi ambavyo umeitia nguvu 2 mikono iliyokuwa dhaifu. 1
Job 16:5Lakini kinywa changu kingewatia moyo; 2 faraja kutoka midomoni mwangu, ingewaletea nafuu. 1
Psalms 36:1Kuna neno moyoni mwangu 2 kuhusu hali ya dhambi ya mwovu. 1 Hakuna hofu ya Mungu 2 mbele ya macho yake. 1
Proverbs 25:19Kama vile jino bovu au mguu uliolemaa, 2 ndivyo ilivyo kumtegemea mtu asiye mwaminifu wakati wa shida. 1
Romans 12:15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
2 Corinthians 11:29Je, ni nani aliye mdhaifu, nami nisijisikie mdhaifu? Je, nani aliyekwazwa, nami nisiudhike?