Job 6:2
“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, 2 nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
O that my grief were throughly weighed, and my calamity laid in the balances together!
In Context
Cross References
Job 23:2“Hata leo malalamiko yangu ni chungu; 2 mkono wake ni mzito juu yangu hata nikiugua. 1
Proverbs 14:10Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, 2 wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 1