Ayubu 6:3
Kwa kuwa hakika ingekuwa nzito kuliko mchanga wa bahari zote, 2 kwa hiyo si ajabu maneno yangu yamekuwa ya haraka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For now it would be heavier than the sand of the sea: therefore my words are swallowed up.
In Context
2“Laiti uchungu wangu ungeweza kupimwa, 2 nayo taabu yangu yote ingewekwa kwenye mizani! 1
Cross References
Job 37:19“Tuambieni yatupasayo kumwambia; 2 hatuwezi kutayarisha shauri letu kwa sababu ya ujinga wetu. 1
Psalms 77:4Ulizuia macho yangu kufumba; 2 nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema. 1
Matthew 11:28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.