Job 7:9
Kama vile wingu liondokavyo na kutoweka, 2 vivyo hivyo yeye ashukaye kaburini + 7:9 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. harudi tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Lile jicho linaloniona sasa halitaniona tena; 2 utanitafuta, wala sitakuwepo. 1
10Kamwe harudi tena nyumbani mwake; 2 wala mahali pake hapatamjua tena. 1
Cross References
2 Samuel 12:23Lakini sasa kwa kuwa amekufa, kwa nini nifunge? Je, naweza kumrudisha tena? Mimi nitakwenda kwake, lakini yeye hatanirudia mimi.”
Job 10:21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1
Job 14:10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake; 2 hutoa pumzi ya mwisho, naye hayuko tena! 1
Job 16:22“Ni miaka michache tu itapita 2 kabla sijaenda safari ambayo sitarudi.
Job 37:11Huyasheheneza mawingu kwa maji, 2 naye husambaza umeme wake wa radi kupitia hayo. 1
Isaiah 26:14Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai, 2 roho za waliokufa hazitarudi tena. 1 Uliwaadhibu na kuwaangamiza, 2 umefuta kumbukumbu lao lote. 1