Job 7:13
Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, 2 nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
When I say, My bed shall comfort me, my couch shall ease my complaint;
In Context
12Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, 2 hata uniweke chini ya ulinzi? 1
14ndipo wanitisha kwa ndoto 2 na kunitia hofu kwa maono, 1
Cross References
Job 7:3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, 2 nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 1
Psalms 6:6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni; 2 usiku kucha nafurikisha 2 kitanda changu kwa machozi; 1 nimelowesha viti vyangu vya fahari 2 kwa machozi. 1