Ayubu 7:12
Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, 2 hata uniweke chini ya ulinzi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Am I a sea, or a whale, that thou settest a watch over me?
In Context
Cross References
Job 38:6Je, misingi yake iliwekwa juu ya nini, 2 au ni nani aliyeweka jiwe la pembeni, 1
Lamentations 3:7Amenizungushia ukuta ili nisiweze kutoroka, 2 amenifunga kwa minyororo mizito. 1