Job 7:2
Kama mtumwa anavyovionea shauku vivuli vya jioni, 2 au mtu aliyeajiriwa anavyoungojea mshahara wake, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As a servant earnestly desireth the shadow, and as an hireling looketh for the reward of his work:
In Context
1“Je, mwanadamu hana kazi ngumu duniani? 2 Siku zake si kama zile za mtu aliyeajiriwa? 1
3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, 2 nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 1
Cross References
Leviticus 19:13“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.
Psalms 119:131Nimefungua kinywa changu na kuhema, 2 nikitamani amri zako. 1
Jeremiah 6:4“Jiandaeni kwa vita dhidi yake! 2 Inukeni tumshambulie mchana! 1 Lakini, ole wetu, mchana unaisha, 2 na vivuli vya jioni vinazidi kuwa virefu. 1
Malachi 3:5“Basi nitakuja karibu nanyi ili kuhukumu. Nami nitakuwa mwepesi kushuhudia dhidi ya wachawi, wazinzi, waapao kwa uongo, wanaopunja vibarua malipo yao, wanaowaonea wajane na yatima, na wanaowanyima wageni haki, lakini hawaniogopi mimi,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 Kumwibia Mungu