Job 7:4
Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ 2 Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, 2 nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 1
Cross References
Job 7:13Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, 2 nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, 1
Job 30:17Usiku mifupa yangu inachoma; 2 maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 1
Psalms 77:4Ulizuia macho yangu kufumba; 2 nilikuwa nasumbuka, nikashindwa kusema. 1
Psalms 130:6Nafsi yangu inamngojea Bwana 2 kuliko walinzi waingojeavyo asubuhi, 1 naam, kuliko walinzi 2 waingojeavyo asubuhi. 1