Isaiah 19:5
Maji ya mito yatakauka, 2 chini ya mto kutakauka kwa jua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the waters shall fail from the sea, and the river shall be wasted and dried up.
In Context
6Mifereji itanuka; 2 vijito vya Misri vitapungua 2 na kukauka. 1 Mafunjo na nyasi vitanyauka, 2
Cross References
Job 14:11Kama vile maji yatowekavyo katika bahari, 2 au mkondo wa mto ukaushwavyo na kuwa mkavu, 1
Jeremiah 51:36Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo: 1 “Tazama, nitatetea shauri lako 2 na kulipiza kisasi kwa ajili yako; 1 nitaikausha bahari yake 2 na kuzikausha chemchemi zake. 1
Zechariah 10:11Watapita katika bahari ya mateso; 2 bahari iliyochafuka itatulizwa 2 na vilindi vyote vya Mto Naili vitakauka. 1 Kiburi cha Ashuru kitashushwa, 2 nayo fimbo ya utawala ya Misri itatoweka. 1