Ayubu 8:16
Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, 2 ukieneza machipukizi yake bustanini; 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is green before the sun, and his branch shooteth forth in his garden.
In Context
15Huutegemea utando wake, lakini hausimami; 2 huungʼangʼania, lakini haudumu. 1
17huifunganisha mizizi yake kwenye lundo la mawe, 2 na kutafuta nafasi katikati ya mawe. 1
Cross References
Job 5:3Mimi mwenyewe nimemwona mpumbavu akistawi, 2 lakini ghafula nyumba yake ikawa imelaaniwa. 1
Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Psalms 80:11Matawi yake yalienea mpaka Baharini, + 80:11 Huenda inamaanisha Bahari ya Mediterania. 2 machipukizi yake mpaka kwenye Mto. + 80:11 Yaani Mto Frati. 1