The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 8 › Ayubu 8:15

Ayubu 8:15

Huutegemea utando wake, lakini hausimami; 2 huungʼangʼania, lakini haudumu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He shall lean upon his house, but it shall not stand: he shall hold it fast, but it shall not endure.

In Context

14Lile analolitumainia huvunjika upesi; 2 lile analolitegemea ni utando wa buibui. 1

16Yeye ni kama mti ulionyeshewa vizuri wakati wa jua, 2 ukieneza machipukizi yake bustanini; 1

Read all of Ayubu 8

Cross References

Job 18:14Atangʼolewa kutoka usalama wa hema lake, 2 na kupelekwa kwa mfalme wa vitisho. 1

Psalms 49:11Makaburi yao yatabaki kuwa nyumba zao za milele, 2 makao yao vizazi vyote; 1 ingawa walikuwa na mashamba 2 na kuyaita kwa majina yao. 1

Psalms 112:10Mtu mwovu ataona na kuchukizwa, 2 atasaga meno yake na kutoweka, 2 kutamani kwa mtu mwovu kutaishia patupu.

Proverbs 14:11Nyumba ya mwovu itaangamizwa, 2 bali hema la mnyofu litastawi. 1

Matthew 7:24“Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 8:15

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 8:14Ayubu 8Ayubu 8:16 →