Ayubu 8:19
Hakika uhai wake hunyauka, 2 na kutoka udongoni mimea mingine huota. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Behold, this is the joy of his way, and out of the earth shall others grow.
In Context
18Unapongʼolewa kutoka mahali pake, 2 ndipo mahali pale huukana na kusema, 2 ‘Mimi kamwe sikukuona.’ 1
20“Hakika Mungu hamkatai mtu asiye na hatia, 2 wala kuitia nguvu mikono ya mtenda mabaya. 1
Cross References
1 Samuel 2:8Humwinua maskini kutoka mavumbini 2 na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu; 1 huwaketisha pamoja na wakuu 2 na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima. 1 “Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana; 2 juu yake ameuweka ulimwengu. 1
Psalms 75:7Bali Mungu ndiye ahukumuye: 2 Humshusha huyu na kumkweza mwingine. 1
Ezekiel 17:24Miti yote ya kondeni itajua kuwa Mimi Bwana ninaishusha miti mirefu na kuikuza miti mifupi kuwa miti mirefu. Mimi naikausha miti mibichi na kuifanya miti mikavu istawi. “ ‘Mimi Bwana nimesema, nami nitatenda.’ ”
Matthew 13:20Ile mbegu iliyopandwa kwenye sehemu yenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na mara hulipokea kwa furaha.