Ayubu 9:25
“Siku zangu zapita mbio kuliko mkimbiaji; 2 zinapita upesi bila kuona furaha hata kidogo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Now my days are swifter than a post: they flee away, they see no good.
In Context
26Zinapita upesi kama mashua ya mafunjo, 2 mfano wa tai ayashukiaye mawindo kwa ghafula. 1
Cross References
Job 7:6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, 2 nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini. 1
Psalms 39:5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi; 2 muda wangu wa kuishi ni kama 2 hauna thamani kwako. 1 Maisha ya kila mwanadamu 2 ni kama pumzi. 1
Psalms 89:47Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. 2 Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu! 1
James 4:14Lakini hamjui hata litakalotukia kesho. Maisha yenu ni nini? Ninyi ni ukungu ambao huonekana kwa kitambo kidogo kisha hutoweka.