Joel 1:12
Mzabibu umekauka 2 na mtini umenyauka; 1 mkomamanga, mtende na mtofaa, 2 miti yote shambani, imekauka. 1 Hakika furaha yote ya mwanadamu 2 imeondoka. 1 Wito Wa Toba 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 13:23Walipofika katika Bonde la Eshkoli, walivunja tawi lililokuwa na kishada kimoja cha zabibu. Wawili wao wakalichukua lile tawi kwenye mti, pamoja na komamanga na tini.
Psalms 92:12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Song of Solomon 4:13Mimea yako ni bustani ya mikomamanga 2 yenye matunda mazuri sana, 2 yenye hina na nardo, 1
Isaiah 9:3Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1
Isaiah 24:11Barabarani wanalilia kupata mvinyo, 2 furaha yote imegeuka kuwa majonzi, 2 furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. 1
Jeremiah 48:33Shangwe na furaha vimetoweka 2 kutoka bustani na mashamba ya Moabu. 1 Nimekomesha kutiririka kwa divai kutoka mashinikizo; 2 hakuna hata mmoja ayakanyagaye kwa kelele za shangwe. 1 Ingawa kuna kelele, 2 sio kelele za shangwe. 1