The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 9 › Isaiah 9:3

Isaiah 9:3

Umelikuza taifa, 2 na kuzidisha furaha yao, 1 wanafurahia mbele zako, 2 kama watu wanavyofurahia wakati wa mavuno, 1 kama watu wafurahivyo 2 wagawanyapo nyara. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast multiplied the nation, and not increased the joy: they joy before thee according to the joy in harvest, and as men rejoice when they divide the spoil.

In Context

2Watu wanaotembea katika giza 2 wameona nuru kuu, 1 wale wanaoishi katika nchi ya uvuli wa mauti, 2 nuru imewazukia. 1

4Kama vile siku ya kushindwa kwa Wamidiani, 2 umevunja nira iliyowalemea, 1 ile gongo mabegani mwao na 2 fimbo yake yeye aliyewaonea. 1

Read all of Isaiah 9

Cross References

Judges 5:3“Sikieni hili, enyi wafalme! 2 Sikilizeni, enyi watawala! 1 Nitamwimbia Bwana, nitaimba; 2 kwa wimbo nitamhimidi Bwana, 2 Mungu wa Israeli. 1

Judges 8:12Zeba na Salmuna, hao wafalme wawili wa Midiani, wakakimbia lakini yeye Gideoni akawafuata na kuwakamata, akalishinda hilo jeshi lao lote.

2 Chronicles 20:25Hivyo Yehoshafati na watu wake wakaenda kujitwalia nyara kutoka kwao, nao wakakuta humo wingi wa mifugo, mali, nguo na vitu vya thamani, ambavyo vilikuwa vingi zaidi ya vile walivyoweza kuchukua. Wakakusanya nyara kwa siku tatu kwa sababu zilikuwa nyingi mno.

Psalms 4:7Wewe umejaza moyo wangu kwa furaha kubwa 2 kuliko watu waliopata nafaka na divai kwa wingi. 1

Psalms 119:162Nafurahia ahadi zako 2 kama mtu aliyepata mateka mengi. 1

Isaiah 10:26Bwana Mwenye Nguvu Zote atawachapa kwa mjeledi, 2 kama alivyowapiga Wamidiani katika mwamba wa Orebu, 1 naye atainua fimbo yake juu ya maji, 2 kama alivyofanya huko Misri. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 9:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 9:2Isaiah 9Isaiah 9:4 →