Yoeli 1:20
Hata wanyama wa porini wanakuonea shauku; 2 vijito vya maji vimekauka, 1 na moto umeteketeza 2 malisho yote ya mbugani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 17:7Baada ya muda, kile kijito kikakauka kwa sababu mvua haikuwa imenyesha katika nchi.
Job 38:41Ni nani ampaye kunguru chakula 2 wakati makinda yake yanamlilia Mungu, 2 yakizungukazunguka kwa ajili ya kukosa chakula?
Psalms 145:15Macho yao wote yanakutazama wewe, 2 nawe huwapa chakula chao wakati wake. 1