Joel 1:19
Kwako, Ee Bwana, naita, 2 kwa kuwa moto umeteketeza 2 malisho ya mbugani 1 na miali ya moto imeunguza 2 miti yote shambani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 50:15na uniite siku ya taabu; 2 nami nitakuokoa, nawe utanitukuza.”
Jeremiah 3:9Kwa sababu uasherati wa Israeli haukuwa kitu kwake, Yuda aliinajisi nchi kwa kuzini na mawe na miti.
Jeremiah 9:10Nitalia na kuomboleza kwa ajili ya milima 2 na kuomboleza kuhusu malisho ya jangwani. 1 Yamekuwa ukiwa, wala hakuna apitaye humo, 2 milio ya ngʼombe haisikiki. 1 Ndege wa angani wametoroka 2 na wanyama wamekimbia. 1
Amos 7:4Hili ndilo Bwana Mwenyezi alilonionyesha katika maono: Bwana Mwenyezi alikuwa akiita hukumu ya moto; nao ulikausha vilindi vikuu, ukateketeza nchi.
Habakkuk 3:17Ingawa mtini hauchanui maua 2 na hakuna zabibu juu ya mizabibu, 1 ingawaje mzeituni hauzai, 2 na hata mashamba hayatoi chakula, 1 iwapo hakuna kondoo katika banda, 2 wala ngʼombe katika zizi, 1
Luke 18:7Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia?