Joel 2:10
Mbele yao dunia inatikisika, 2 anga linatetemeka, 1 jua na mwezi vinatiwa giza, 2 na nyota hazitoi mwanga wake tena. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 114:7Ee dunia, tetemeka mbele za Bwana, 2 mbele za Mungu wa Yakobo, 1
Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1
Ezekiel 32:7Nitakapokuzimisha, nitafunika mbingu 2 na kuzitia nyota zake giza; 1 nitalifunika jua kwa wingu, 2 nao mwezi hautatoa nuru yake. 1
Joel 2:31Jua litageuzwa kuwa giza 2 na mwezi kuwa mwekundu kama damu, 1 kabla ya kuja siku ya Bwana 2 ile kuu na ya kutisha. 1
Joel 3:15Jua na mwezi vitatiwa giza, 2 na nyota hazitatoa mwanga wake tena. 1
Nahum 1:5Milima hutikisika mbele yake 2 na vilima huyeyuka. 1 Nchi hutetemeka mbele yake, 2 dunia na wote waishio ndani yake. 1