Joel 2:11
Bwana anatoa mshindo wa ngurumo 2 mbele ya jeshi lake; 1 majeshi yake hayana idadi, 2 ni wenye nguvu nyingi 2 wale ambao hutii agizo lake. 1 Siku ya Bwana ni kuu, 2 ni ya kutisha. 2 Ni nani anayeweza kuistahimili? 1 Rarueni Mioyo Yenu 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 22:14Bwana alinguruma kutoka mbinguni, 2 sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika. 1
Psalms 46:6Mataifa yanafanya ghasia, falme zinaanguka, 2 Yeye huinua sauti yake, dunia ikayeyuka. 1
Isaiah 7:18Katika siku ile Bwana atawapigia filimbi mainzi kutoka vijito vya mbali vya Misri, na nyuki kutoka nchi ya Ashuru.
Isaiah 42:13Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu, 2 kama shujaa atachochea shauku yake, 1 kwa kelele ataamsha kilio cha vita, 2 naye atashinda adui zake. 1
Jeremiah 30:7Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha! 2 Hakutakuwa na nyingine mfano wake. 1 Utakuwa wakati wa dhiki kwa Yakobo, 2 lakini ataokolewa kutoka hiyo. 1
Ezekiel 22:14Je, ujasiri wako utadumu au mikono yako itakuwa na nguvu siku hiyo nitakapokushughulikia? Mimi Bwana nimesema na nitalifanya.