Joel 2:31
Jua litageuzwa kuwa giza 2 na mwezi kuwa mwekundu kama damu, 1 kabla ya kuja siku ya Bwana 2 ile kuu na ya kutisha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu 2 na duniani: 2 damu, moto na mawimbi ya moshi. 1
Cross References
Isaiah 34:4Nyota zote za mbinguni zitayeyuka 2 na anga litasokotwa kama kitabu, 1 jeshi lote la angani litaanguka 2 kama majani yaliyonyauka kutoka kwenye mzabibu, 2 kama tini iliyonyauka kutoka kwenye mtini. 1
Joel 3:1“Katika siku hizo na wakati huo, 2 nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu, 1
Zephaniah 1:14“Siku kubwa ya Bwana iko karibu: 2 iko karibu na inakuja haraka. 1 Sikilizeni! Kilio katika siku ya Bwana 2 kitakuwa kichungu, 2 hata shujaa atapiga kelele. 1
Malachi 4:5“Tazama, nitawapelekea nabii Eliya kabla ya kuja siku ile iliyo kuu na ya kutisha ya Bwana.
Matthew 27:45Tangu saa sita hadi saa tisa giza liliifunika nchi yote.
Luke 21:25“Kutakuwa na ishara katika jua, mwezi na nyota. Hapa duniani, mataifa yatakuwa katika dhiki na fadhaa kutokana na ngurumo na misukosuko ya bahari.