The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:19

Joel 2:19

Bwana atawajibu: 2 “Ninawapelekea nafaka, 2 mvinyo mpya na mafuta, 1 vya kuwatosha ninyi 2 hadi mridhike kabisa; 1 kamwe sitawafanya tena 2 kitu cha kudharauliwa na mataifa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Yea, the LORD will answer and say unto his people, Behold, I will send you corn, and wine, and oil, and ye shall be satisfied therewith: and I will no more make you a reproach among the heathen:

In Context

18Kisha Bwana atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake 2 na kuwa na huruma juu ya watu wake. 1

20“Nitafukuza jeshi la kaskazini likae mbali nanyi, 2 nikilisukuma ndani ya jangwa, 1 askari wa safu za mbele wakienda 2 ndani ya bahari ya mashariki 1 na wale wa safu za nyuma 2 katika bahari ya magharibi. 1 Uvundo wake utapaa juu; 2 harufu yake itapanda juu.” 1 Hakika ametenda mambo makubwa. 2

Read all of Joel 2

Cross References

Ruth 1:6Aliposikia akiwa huko Moabu kwamba Bwana amewasaidia watu wake kwa kuwapa chakula, Naomi na wakweze wakajiandaa kurudi nyumbani.

Isaiah 65:21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake; 2 watapanda mashamba ya mizabibu na kula matunda yake. 1

Ezekiel 34:29Nitawapa nchi yenye sifa kutokana na mazao yake, hawatapatwa na njaa katika nchi tena wala hawatadharauliwa na mataifa.

Ezekiel 36:29Nitawaokoa ninyi kutoka unajisi wenu wote. Nitaiita nafaka na kuiongeza iwe nyingi sana nami sitaleta njaa juu yenu.

Ezekiel 39:29Sitawaficha tena uso wangu, kwa maana nitamimina Roho wangu juu ya nyumba ya Israeli, asema Bwana Mwenyezi.”

Joel 1:10Mashamba yameharibiwa, 2 ardhi imekauka; 1 nafaka imeharibiwa, 2 mvinyo mpya umekauka, 2 mafuta yamekoma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:18Joel 2Joel 2:20 →