Yoeli 1:10
Mashamba yameharibiwa, 2 ardhi imekauka; 1 nafaka imeharibiwa, 2 mvinyo mpya umekauka, 2 mafuta yamekoma. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 24:3Dunia itaharibiwa kabisa 2 na kutekwa nyara kabisa. 4 Bwana amesema neno hili. 1
Jeremiah 12:4Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1
Jeremiah 14:2“Yuda anaomboleza, 2 miji yake inayodhoofika; 1 wanaomboleza kwa ajili ya nchi, 2 nacho kilio kinapanda kutoka Yerusalemu. 1
Hosea 4:3Kwa sababu hii nchi huomboleza, 2 wote waishio ndani mwake wanadhoofika, 1 wanyama wa kondeni, ndege wa angani 2 na samaki wa baharini wanakufa. 1
Joel 1:5Amkeni, enyi walevi, mlie! 2 Pigeni yowe enyi wanywaji wote wa mvinyo, 1 pigeni yowe kwa sababu ya mvinyo mpya, 2 kwa kuwa mmenyangʼanywa 2 kutoka midomoni mwenu. 1
Joel 1:17Mbegu zinakauka 2 chini ya mabonge ya udongo. 1 Ghala zimeachwa katika uharibifu, 2 ghala za nafaka zimebomolewa, 2 kwa maana hakuna nafaka. 1