Yoeli 3:18
“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya, 2 na vilima vitatiririka maziwa; 2 mabonde yote ya Yuda yatatiririka maji. 1 Chemchemi itatiririka kutoka kwenye nyumba ya Bwana 2 na kunywesha Bonde la Shitimu. + 3:18 Au: Bonde la Migunga . 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 3:8Basi nimeshuka niwaokoe kutoka mkono wa Wamisri, niwatoe na kuwapandisha kutoka nchi hiyo, niwapeleke katika nchi nzuri na kubwa, nchi itiririkayo maziwa na asali, nchi ya Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.
Job 29:6wakati njia yangu ilikuwa imenyweshewa siagi, 2 nao mwamba ukanimiminia vijito vya mafuta ya zeituni. 1
Isaiah 30:25Katika siku ile ya mauaji makuu, wakati minara itakapoanguka, vijito vya maji vitatiririka juu ya kila mlima mrefu na kila kilima kilichoinuka sana.
Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1
Ezekiel 47:1Yule mtu akanirudisha mpaka kwenye ingilio la Hekalu, nami nikaona maji yakitoka chini ya kizingiti cha Hekalu yakitiririkia upande wa mashariki (kwa maana upande wa mbele wa Hekalu ulielekea mashariki). Maji yalikuwa yakitoka chini upande wa kusini wa Hekalu, kusini mwa madhabahu.
Micah 6:5Watu wangu, kumbukeni jinsi Balaki mfalme wa Moabu 2 alivyofanya shauri 2 na kile Balaamu mwana wa Beori alichojibu. 1 Kumbukeni safari yenu kutoka Shitimu mpaka Gilgali, 2 ili mfahamu matendo ya haki ya Bwana.” 1