The Bible Software
bible.softwareJoelJoel 2 › Joel 2:27

Joel 2:27

Ndipo mtakapojua kwamba mimi niko katika Israeli 2 kwamba mimi ndimi Bwana Mungu wenu, 2 na kwamba hakuna mwingine; 1 kamwe watu wangu hawataaibika tena. 1 Siku Ya Bwana 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye shall know that I am in the midst of Israel, and that I am the LORD your God, and none else: and my people shall never be ashamed.

In Context

26Mtakuwa na wingi wa vyakula mpaka mshibe, 2 na mtalisifu jina la Bwana Mungu wenu, 1 ambaye amefanya maajabu kwa ajili yenu; 2 kamwe watu wangu hawataaibishwa tena. 1

28“Hata itakuwa, baada ya hayo, 2 nitamimina Roho wangu juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 wazee wenu wataota ndoto, 2 na vijana wenu wataona maono. 1

Read all of Joel 2

Cross References

Leviticus 26:12Nitatembea katikati yenu niwe Mungu wenu, nanyi mtakuwa watu wangu.

Numbers 23:21“Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo, 2 wala taabu katika Israeli. 1 Bwana, Mungu wao yu pamoja nao, 2 nayo sauti kuu ya Mfalme imo katikati yao. 1

Psalms 46:5Mungu yuko katikati yake, hautaanguka, 2 Mungu atausaidia asubuhi na mapema. 1

Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1

Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1

Isaiah 45:6ili kutoka mawio ya jua 2 mpaka machweo yake, 1 watu wapate kujua kwamba hakuna Mungu mwingine ila Mimi. 2 Mimi ndimi Bwana wala hakuna mwingine. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Joel 2:27

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Joel 2:26Joel 2Joel 2:28 →