Isaiah 44:3
Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 78:15Alipasua miamba jangwani 2 na akawapa maji tele kama bahari, 1
Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1
Isaiah 32:2Kila mtu atakuwa kama kivuli cha kujificha kutokana na upepo 2 na kimbilio kutokana na dhoruba, 1 kama vijito vya maji jangwani 2 na kivuli cha mwamba mkubwa katika ardhi yenye kiu. 1
Isaiah 35:6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu, 2 nao ulimi wa aliye bubu utapaza sauti kwa shangwe. 1 Maji yatatiririka kwa kasi katika nyika, 2 na vijito katika jangwa. 1
Isaiah 41:17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji, 2 lakini hayapo, 2 ndimi zao zimekauka kwa kiu. 1 Lakini Mimi Bwana nitawajibu, 2 Mimi, Mungu wa Israeli, sitawaacha. 1
Isaiah 48:21Hawakuona kiu alipowaongoza kupita jangwani; 2 alifanya maji yatiririke kutoka kwenye mwamba kwa ajili yao; 1 akapasua mwamba 2 na maji yakatoka kwa nguvu. 1