Joel 3:1
“Katika siku hizo na wakati huo, 2 nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 11:29Lakini Mose akajibu, “Je, unaona wivu kwa ajili yangu? Ningetamani watu wote wa Bwana wangekuwa manabii na kwamba Bwana angeweka Roho yake juu yao!”
Deuteronomy 30:3ndipo Bwana Mungu wako atakapokurudisha kutoka utumwani na kukuhurumia, naye atakukusanya tena kutoka mataifa yote kule alikutawanya.
Psalms 14:7Laiti wokovu wa Israeli 2 ungalikuja kutoka Sayuni! 1 Wakati Bwana arejeshapo 2 wafungwa wa watu wake, 1 Yakobo na ashangilie, 2 Israeli na afurahi!
Proverbs 1:23Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu, 2 ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu 2 na kuwafahamisha maneno yangu. 1
Isaiah 44:3Kwa maana nitamimina maji juu ya nchi yenye kiu, 2 na vijito vya maji juu ya ardhi iliyokauka; 1 nitamimina Roho wangu juu ya watoto wako, 2 nayo baraka yangu juu ya wazao wako. 1
Jeremiah 23:3“Mimi mwenyewe nitayakusanya mabaki ya kundi langu kutoka nchi zote ambazo nimewafukuzia, nami nitawarudisha katika malisho yao, mahali ambapo watazaa na kuongezeka idadi yao.