Joel 3:2
nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta 2 katika Bonde la Yehoshafati + 3:2 Yehoshafati maana yake Bwana huhukumu. 1 Hapo nitaingia kwenye hukumu dhidi yao 2 kuhusu urithi wangu, watu wangu Israeli, 1 kwa kuwa waliwatawanya watu wangu 2 miongoni mwa mataifa 2 na kuigawa nchi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1“Katika siku hizo na wakati huo, 2 nitakaporejesha neema ya Yuda na Yerusalemu, 1
Cross References
2 Chronicles 20:26Siku ya nne wakakusanyika katika Bonde la Beraka + 20:26 Bonde la Beraka maana yake Bonde la Kusifu. kwa maana huko ndiko walikomsifu Bwana. Ndiyo sababu linaitwa Bonde la Beraka mpaka leo.
Jeremiah 12:14Hili ndilo asemalo Bwana: “Kwa habari ya majirani zangu wote wabaya wanaonyangʼanya urithi ambao ninawapa watu wangu Israeli, nitawangʼoa kutoka nchi zao, nami nitaingʼoa nyumba ya Yuda kutoka katikati yao.
Jeremiah 49:1Kuhusu Waamoni: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Je, Israeli hana wana? 2 Je, hana warithi? 1 Kwa nini basi Moleki amechukua milki ya Gadi? 2 Kwa nini watu wake wanaishi katika miji yake? 1
Ezekiel 35:10“ ‘Kwa sababu umesema, “Mataifa haya mawili na nchi hizi zitakuwa zetu nasi tutazimiliki,” ingawa hata mimi Bwana nilikuwa huko,
Ezekiel 38:22Nitatekeleza hukumu juu yake kwa tauni na kwa umwagaji wa damu. Nitaifanya mvua ya mafuriko kunyesha, mvua ya mawe na moto wa kiberiti juu yake na juu ya vikosi vyake na juu ya mataifa mengi walio pamoja naye.
Joel 3:12“Mataifa na yaamshwe; 2 na yasonge mbele kuelekea Bonde la Yehoshafati, 1 kwa kuwa nitaketi mahali pale 2 kuhukumu mataifa yote yaliyoko kila upande. 1