John 1:10
Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He was in the world, and the world was made by him, and the world knew him not.
In Context
9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.
11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.
Cross References
Genesis 16:13Hagari akampa Bwana aliyezungumza naye jina hili: “Wewe ndiwe Mungu unionaye mimi,” kwa maana alisema, “Sasa nimemwona yeye anayeniona mimi.”
Genesis 18:33Bwana alipomaliza kuzungumza na Abrahamu, akaondoka, naye Abrahamu akarudi nyumbani kwake.
Jeremiah 10:11“Waambie hivi: ‘Miungu hii, ambayo haikuumba mbingu na dunia, itaangamia kutoka dunia na kutoka chini ya mbingu.’ ” 1
John 1:5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.
John 5:17Yesu akawajibu, “Baba yangu anafanya kazi yake daima hata siku hii ya leo, nami pia ninafanya kazi.”
Acts 14:17Lakini hakuacha kuwaonyesha watu uwepo wake: Ameonyesha wema kwa kuwanyeshea mvua toka mbinguni na kuwapa mazao kwa majira yake, naye amewapa chakula tele na kuijaza mioyo yenu na furaha.”