The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 1 › John 1:26

John 1:26

Yohana akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji, + 1:26 Hapa tafsiri zingine zinasema ndani ya maji. lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

John answered them, saying, I baptize with water: but there standeth one among you, whom ye know not;

In Context

25wakamuuliza, “Kama wewe si Kristo, wala si Eliya na wala si yule Nabii, kwa nini basi unabatiza?”

27Yeye ajaye baada yangu, sistahili hata kufungua kamba za viatu vyake.”

Read all of John 1

Cross References

Malachi 3:1“Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Mark 1:8Mimi nawabatiza kwa maji, lakini yeye atawabatiza kwa Roho Mtakatifu.” 1 Ubatizo Wa Yesu (Mathayo 3:13-17; Luka 3:21-22)

John 1:10Huyo Neno alikuwako ulimwenguni na ingawa ulimwengu uliumbwa kupitia kwake, haukumtambua.

John 16:3Nao watawatenda haya kwa sababu hawamjui Baba wala mimi.

John 17:25“Baba Mwenye Haki, ingawa ulimwengu haukujui, mimi ninakujua, nao wanajua ya kuwa umenituma.

Acts 11:16Nami nikakumbuka neno la Bwana alivyosema, ‘Yohana alibatiza kwa maji, lakini ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu.’

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 1:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 1:25John 1John 1:27 →