John 1:37
Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the two disciples heard him speak, and they followed Jesus.
In Context
36Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!”
Cross References
Proverbs 15:23Mtu hupata furaha katika kutoa jibu linalofaa: 2 je, ni zuri namna gani neno lililotoka kwa wakati wake! 1
John 1:43Siku iliyofuata Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”
Romans 10:17Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Revelation 22:17Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.