Warumi 10:17
Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So then faith cometh by hearing, and hearing by the word of God.
In Context
Cross References
Jeremiah 23:28Mwache nabii aliye na ndoto aseme ndoto yake, lakini yule aliye na neno langu na aliseme kwa uaminifu. Kwa maana jani kavu lina uhusiano gani na ngano?” asema Bwana.
Luke 8:11“Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.
Luke 11:28Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.” 1 Ishara Ya Yona (Mathayo 12:38-42)
John 1:37Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.
Romans 10:14Lakini watamwitaje yeye ambaye hawajamwamini? Nao watawezaje kumwamini yeye ambaye hawajamsikia? Tena watamsikiaje bila mtu kuwahubiria?
2 Corinthians 2:17Tofauti na watu wengine wengi, sisi hatufanyi biashara na Neno la Mungu kwa ajili ya kupata faida. Kinyume chake, katika Kristo tunalisema Neno la Mungu kwa unyoofu, kama watu tuliotumwa kutoka kwa Mungu.