John 10:21
Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na pepo mchafu. Je, pepo mchafu aweza kufungua macho ya kipofu?” 1 Yesu Akataliwa Na Wayahudi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Wengi wao wakasema, “Huyu amepagawa na pepo mchafu, naye amechanganyikiwa.”
Cross References
Exodus 8:19Waganga wale wakamwambia Farao, “Hiki ni kidole cha Mungu.” Lakini moyo wa Farao ukawa mgumu naye hakuwasikiliza, kama vile Bwana alivyosema. 1 Pigo La Nne: Mainzi
Psalms 146:8Bwana huwafumbua vipofu macho, 1 Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, 2 Bwana huwapenda wenye haki. 1
Isaiah 35:5Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa 2 na masikio ya viziwi yatazibuliwa. 1
Matthew 11:5Vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema.
John 9:32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu.