John 10:22
Wakati huo ilikuwa Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu + 10:22 Sikukuu ya Kuwekwa wakfu kwa Hekalu ni Hanukkah kwa Kiebrania. huko Yerusalemu, nao ulikuwa wakati wa majira ya baridi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And it was at Jerusalem the feast of the dedication, and it was winter.
In Context
23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.
Cross References
2 Chronicles 7:5Naye Mfalme Solomoni akatoa dhabihu ya ngʼombe 22,000 pamoja na kondoo na mbuzi 120,000. Hivyo ndivyo mfalme na watu wote walivyoweka wakfu Hekalu la Mungu.
Mark 3:22Walimu wa sheria walioteremka kutoka Yerusalemu walisema, “Amepagawa na Beelzebuli! + 3:22 Beelzebuli kwa Kiyunani ni Beelzebubu, yaani mkuu wa pepo wachafu. Anatoa pepo wachafu kwa kutumia mkuu wa pepo wachafu!”