John 10:24
Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo + 10:24 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie waziwazi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Naye Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Solomoni.
Cross References
Matthew 11:3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Luke 22:67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo, + 22:67 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini.
John 8:25Wakamuuliza, “Wewe ni nani?” Naye Yesu akawajibu, “Mimi ndiye yule ambaye nimekuwa nikiwaambia tangu mwanzo.
John 9:22Wazazi wake walisema hivi kwa sababu waliwaogopa Wayahudi kwani walikuwa wamekubaliana kuwa mtu yeyote atakayemkiri Yesu kuwa ndiye Kristo + 9:22 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. atafukuzwa kutoka sinagogi.
2 Corinthians 3:12Kwa hiyo, kwa kuwa tunalo tumaini hili, tuna ujasiri sana.