John 10:4
Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.”
Cross References
Song of Solomon 2:8Sikiliza! Mpenzi wangu! 2 Tazama! Huyu hapa anakuja, 1 akirukaruka juu milimani 2 akizunguka juu ya vilima. 1
Micah 2:12“Hakika nitawakusanya ninyi nyote, ee Yakobo, 2 Hakika nitawaleta pamoja mabaki ya Israeli. 1 Nitawaleta pamoja kama kondoo ndani ya zizi, 2 kama kundi kwenye malisho yake, 2 mahali hapa patakuwa na msongamano wa watu. 1
John 3:29Bibi arusi ni wa bwana arusi. Lakini rafiki yake bwana arusi anayesimama karibu naye na kusikiliza kutoka kwake, hufurahi sana aisikiapo sauti ya bwana arusi. Kwa sababu hii furaha yangu imekamilika.
John 10:16Ninao kondoo wengine ambao si wa zizi hili, inanipasa kuwaleta, nao wataisikia sauti yangu, hivyo patakuwa na kundi moja na mchungaji mmoja.
John 13:15Mimi nimewawekea kielelezo kwamba imewapasa kutenda kama vile nilivyowatendea ninyi.
John 18:37Pilato akamuuliza, “Kwa hiyo wewe ni mfalme?” Yesu akajibu, “Wewe wasema kwamba mimi ni mfalme. Kwa kusudi hili nilizaliwa, na kwa ajili ya hili nilikuja ulimwenguni, ili niishuhudie kweli. Mtu yeyote aliye wa kweli husikia sauti yangu.”