The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 10 › John 10:34

John 10:34

Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Sheria ya kwamba, ‘Nimesema kuwa, ninyi ni miungu?’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Jesus answered them, Is it not written in your law, I said, Ye are gods?

In Context

33Wayahudi wakamjibu, “Hatukupigi mawe kwa sababu ya mambo mema uliyotenda, bali ni kwa kuwa umekufuru. Wewe ingawa ni mwanadamu unajifanya kuwa Mungu.”

35Kama aliwaita ‘miungu,’ wale ambao neno la Mungu liliwafikia, nayo Maandiko hayawezi kutanguka,

Read all of John 10

Cross References

Exodus 4:16Aroni ataongea na watu badala yako na itakuwa kwamba yeye amekuwa kinywa chako nawe utakuwa kama Mungu kwake.

Exodus 22:28“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.

Psalms 82:6“Nilisema, ‘Ninyi ni “miungu”; 2 ninyi nyote ni wana wa Aliye Juu Sana.’ 1

John 8:17Imeandikwa katika Sheria yenu kwamba, ushahidi wa watu wawili ni thabiti.

John 15:25Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Sheria kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’

1 Corinthians 14:21Katika Sheria imeandikwa kwamba: 1 “Kupitia kwa watu wenye lugha ngʼeni 2 na kupitia midomo ya wageni, 1 nitasema na watu hawa, 2 lakini hata hivyo hawatanisikiliza,” 4 asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 10:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 10:33John 10John 10:35 →