John 8:17
Imeandikwa katika Sheria yenu kwamba, ushahidi wa watu wawili ni thabiti.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It is also written in your law, that the testimony of two men is true.
In Context
18Mimi najishuhudia mwenyewe, naye Baba aliyenituma hunishuhudia.”
Cross References
Deuteronomy 17:6Kwa ushuhuda wa mashahidi wawili au watatu mtu huyo atauawa, bali hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja tu.
1 Kings 21:10Lakini waketisheni watu wawili wabaya kabisa mkabala naye, nao washuhudie kuwa yeye amemlaani Mungu na mfalme. Kisha mtoeni nje na kumpiga kwa mawe hadi afe.”
John 10:34Yesu akawajibu, “Je, haikuandikwa katika Sheria ya kwamba, ‘Nimesema kuwa, ninyi ni miungu?’
2 Corinthians 13:1Hii ndiyo mara ya tatu mimi kuja kwenu. “Shtaka lolote lazima lithibitishwe na mashahidi wawili au watatu.”
Galatians 4:21Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je, hamjui sheria inavyosema?
1 John 5:9Kama tunaukubali ushuhuda wa wanadamu, basi ushuhuda wa Mungu ni mkuu zaidi, kwa kuwa huu ndio ushuhuda wa Mungu kwamba amemshuhudia Mwanawe.