John 11:27
Martha akamwambia, “Ndiyo Bwana, ninaamini ya kuwa wewe ndiwe Kristo, + 11:27 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu, yeye ajaye ulimwenguni.” 1 Yesu Alia
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26na yeyote aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je, unasadiki haya?”
Cross References
Matthew 11:3ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
Luke 2:11Leo katika mji wa Daudi kwa ajili yenu amezaliwa Mwokozi, ndiye Kristo + 2:11 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Bwana.
John 1:49Nathanaeli akamwambia, “Rabi, wewe ni Mwana wa Mungu! Wewe ni Mfalme wa Israeli!”
John 6:14Baada ya watu kuona muujiza ule Yesu aliofanya, walianza kusema, “Hakika huyu ndiye Nabii ajaye ulimwenguni!”
John 9:36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”
Acts 8:36Walipokuwa wakiendelea na safari wakafika mahali palipokuwa na maji, yule towashi akamuuliza Filipo, “Tazama, hapa kuna maji. Kitu gani kitanizuia nisibatizwe?” [