The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 12 › John 12:13

John 12:13

Basi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema, 1 “Hosana!” + 12:13 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1 “Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Took branches of palm trees, and went forth to meet him, and cried, Hosanna: Blessed is the King of Israel that cometh in the name of the Lord.

In Context

12Siku iliyofuata umati mkubwa uliokuwa umekuja kwenye Sikukuu walisikia kwamba Yesu angekuja Yerusalemu.

14Yesu akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa, 1

Read all of John 12

Cross References

Psalms 72:17Jina lake na lidumu milele, 2 na lidumu kama jua. 1 Mataifa yote yatabarikiwa kupitia kwake, 2 nao watamwita aliyebarikiwa. 1

Isaiah 44:6“Hili ndilo asemalo Bwana, 2 Mfalme wa Israeli na Mkombozi, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho; 2 zaidi yangu hakuna Mungu. 1

Zephaniah 3:15Bwana amekuondolea adhabu yako, 2 amewarudisha nyuma adui zako. 1 Bwana, Mfalme wa Israeli, yu pamoja nawe; 2 kamwe hutaogopa tena madhara yoyote. 1

Matthew 23:39Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.’ ”

Luke 19:35Wakamleta kwa Yesu, nao baada ya kutandika mavazi yao juu ya huyo mwana-punda, wakampandisha Yesu juu yake.

John 12:15“Usiogope, Ewe binti Sayuni; 2 tazama, Mfalme wako anakuja, 2 amepanda mwana-punda!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 12:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 12:12John 12John 12:14 →