The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 12 › John 12:6

John 12:6

Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali maskini, bali kwa kuwa alikuwa mwizi, kwani ndiye alikuwa akitunza mfuko wa fedha akawa anaiba kile kilichowekwa humo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

This he said, not that he cared for the poor; but because he was a thief, and had the bag, and bare what was put therein.

In Context

5“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300 + 12:5 Dinari 300 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 300. na fedha hizo wakapewa maskini?”

7Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.

Read all of John 12

Cross References

2 Kings 12:14zililipwa kwa wafanyakazi, ambao walizitumia kwa kukarabati Hekalu.

Psalms 14:1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, matendo yao ni maovu kabisa; 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1

Proverbs 29:7Mwenye haki hujali haki kwa ajili ya maskini, 2 bali mwovu hajishughulishi na hilo. 1

Matthew 21:13Akawaambia, “Imeandikwa, ‘Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,’ lakini ninyi mmeifanya kuwa pango la wanyangʼanyi.”

John 10:13Yeye hukimbia kwa sababu ameajiriwa wala hawajali kondoo.

1 Corinthians 6:10wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyangʼanyi hawataurithi Ufalme wa Mungu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 12:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 12:5John 12John 12:7 →