John 12:7
Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Jesus, Let her alone: against the day of my burying hath she kept this.
In Context
8Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.” 1 Shauri La Kumuua Lazaro
Cross References
Psalms 109:31Kwa maana husimama mkono wa kuume wa mhitaji, 2 kuokoa maisha yake kutoka kwa wale wanaomhukumu.
Matthew 26:10Yesu, akijua jambo hili, akawaambia, “Mbona mnamsumbua huyu mwanamke? Yeye amenitendea jambo zuri sana.
Matthew 27:57Ilipofika jioni, alifika mtu mmoja tajiri kutoka Arimathaya aitwaye Yosefu, ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.
Mark 15:42Ilipofika jioni, kwa kuwa ilikuwa Siku ya Maandalizi, yaani siku moja kabla ya Sabato,
John 19:38Baada ya mambo haya, Yosefu wa Arimathaya, aliyekuwa mfuasi wa Yesu, ingawa kwa siri kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi, alimwomba Pilato ruhusa ili kuuchukua mwili wa Yesu. Pilato alimruhusu, hivyo akaja, akauchukua.