John 12:8
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.” 1 Shauri La Kumuua Lazaro
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the poor always ye have with you; but me ye have not always.
In Context
7Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.
Cross References
Song of Solomon 5:6Nilimfungulia mpenzi wangu, 2 lakini mpenzi wangu alishaondoka; 2 alikuwa amekwenda zake. 1 Moyo wangu ulishuka kwa kuondoka kwake. 2 Nilimtafuta lakini sikumpata. 2 Nilimwita lakini hakunijibu. 1
Mark 14:7Maskini mtakuwa nao siku zote na mnaweza kuwasaidia wakati wowote mnaotaka. Lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.
John 12:35Ndipo Yesu akawaambia, “Bado kitambo kidogo nuru ingalipo pamoja nanyi. Enendeni maadamu mna nuru, msije mkakumbwa na giza. Mtu anayetembea gizani hajui anakokwenda.
John 16:5“Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?’