The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 16 › John 16:5

John 16:5

“Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?’

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But now I go my way to him that sent me; and none of you asketh me, Whither goest thou?

In Context

4Lakini nimewaambia ninyi mambo haya, ili saa hiyo ikiwadia mpate kukumbuka ya kuwa nilikuwa nimewaambia. Sikuwaambia mambo haya tangu mwanzo kwa sababu nilikuwa pamoja nanyi. 1 Kazi Ya Roho Mtakatifu

6Kwa sababu nimewaambia mambo haya, mioyo yenu imejawa na huzuni.

Read all of John 16

Cross References

John 6:62Ingekuwaje basi kama mngemwona Mwana wa Adamu akipaa kwenda zake huko alipokuwa kwanza?

John 13:3Yesu akijua ya kwamba Baba ameweka vitu vyote chini ya mamlaka yake na kwamba yeye alitoka kwa Mungu na alikuwa anarudi kwa Mungu,

John 14:4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 1 Yesu Ndiye Njia Ya Kwenda Kwa Baba

John 16:10kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,

John 16:28Nilitoka kwa Baba na kuja ulimwenguni, sasa naondoka ulimwenguni na kurudi kwa Baba.”

John 17:13“Lakini sasa naja kwako, nami ninasema mambo haya wakati bado nikiwa ulimwenguni, ili wawe na furaha yangu kamili ndani yao.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 16:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 16:4John 16John 16:6 →