John 16:17
Baadhi ya wanafunzi wakaulizana, “Ana maana gani asemapo, ‘Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona’? Naye ana maana gani asemapo, ‘Kwa sababu ninakwenda kwa Baba’?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Wakaendelea kuulizana, “Ana maana gani asemapo, ‘Kitambo kidogo’? Hatuelewi hilo analosema.”
Cross References
Mark 9:32Lakini wao hawakuelewa kile alimaanisha, nao waliogopa kumuuliza maana yake. 1 Mabishano Kuhusu Aliye Mkuu Zaidi (Mathayo 18:1-5; Luka 9:46-48)
Luke 18:34Wanafunzi wake hawakuelewa mambo haya, kwa kuwa maana yake ilikuwa imefichika kwao, nao hawakujua Yesu alikuwa anazungumzia nini. 1 Yesu Amponya Kipofu Karibu Na Yeriko (Mathayo 20:29-34; Marko 10:46-52)
John 14:5Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?”
John 16:1“Nimewaambia mambo haya yote ili msije mkaiacha imani.
John 16:16“Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona.” 1 Huzuni Itageuka Kuwa Furaha