John 14:5
Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thomas saith unto him, Lord, we know not whither thou goest; and how can we know the way?
In Context
4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 1 Yesu Ndiye Njia Ya Kwenda Kwa Baba
Cross References
Mark 8:17Yesu, akifahamu majadiliano yao, akawauliza: “Mbona mnajadiliana kuhusu kutokuwa na mikate? Je, bado hamtambui wala hamwelewi? Je, mbona mioyo yenu ni migumu kiasi hicho?
Luke 24:25Yesu akawaambia, “Ninyi ni wajinga kiasi gani, nanyi ni wazito mioyoni mwenu kuamini mambo yote yaliyonenwa na manabii!
John 15:12Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.
Hebrews 5:11Tunayo mengi ya kusema kuhusu habari ya ukuhani huu, lakini ni vigumu kuyaeleza, kwa sababu ninyi ni wazito wa kuelewa.