John 15:12
Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
This is my commandment, That ye love one another, as I have loved you.
In Context
11Nimewaambia mambo haya ili furaha yangu iwe ndani yenu na furaha yenu iwe kamili.
13Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Cross References
John 13:34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
Ephesians 5:2mkiishi maisha ya upendo, kama vile Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu.
1 Thessalonians 4:9Sasa kuhusu upendo wa ndugu hamna haja mtu yeyote kuwaandikia, kwa maana ninyi wenyewe mmefundishwa na Mungu kupendana.
1 Peter 1:22Basi kwa kuwa mmejitakasa nafsi zenu kwa kuitii ile kweli hata mkawa na upendo wa ndugu usio na unafiki, basi pendaneni kwa dhati kutoka moyoni.
1 Peter 4:8Zaidi ya yote, dumuni katika upendo kwa maana upendo husitiri wingi wa dhambi.
1 John 3:11Hili ndilo neno mlilolisikia tangu mwanzo: Kwamba imetupasa tupendane sisi kwa sisi.