Waebrania 5:11
Tunayo mengi ya kusema kuhusu habari ya ukuhani huu, lakini ni vigumu kuyaeleza, kwa sababu ninyi ni wazito wa kuelewa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of whom we have many things to say, and hard to be uttered, seeing ye are dull of hearing.
In Context
10Naye amewekwa na Mungu kuwa Kuhani Mkuu kwa mfano wa Melkizedeki. 1 Wito Wa Kukua Kiroho
Cross References
1 Kings 10:1Malkia wa Sheba aliposikia habari za umaarufu wa Solomoni na uhusiano wake na jina la Bwana, akaja kumjaribu kwa maswali magumu.
Matthew 13:15Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu; 2 hawasikii kwa masikio yao, 2 na wamefumba macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 na kugeuka nami nikawaponya.’
Mark 8:21Ndipo akawauliza, “Je, bado hamwelewi?” 1 Yesu Amponya Kipofu Huko Bethsaida
John 6:6Aliuliza swali hili kumpima, kwa maana alishajua la kufanya.
Acts 28:27Kwa kuwa mioyo ya watu hawa imekuwa migumu; 2 hawasikii kwa masikio yao, 2 na wamefumba macho yao. 1 Wasije wakaona kwa macho yao, 2 na wakasikiliza kwa masikio yao, 2 wakaelewa kwa mioyo yao, 1 na kugeuka nami nikawaponya.’